Mwongozo huu umeandaliwa ili kuwasaidia walimu katika shule za msingi Tanzania ili
kukuza stadi za kuhusiana kwa heshima miongoni mwa wanafunzi.