Maelezo ya Kozi

Hii ni kozi ya utangulizi katika mtalaa wa historia ya Kiswahili na lahaja zake. Kozi hii inachunguza kwa undani zaidi masuala yanayoambatana na madai yaliyowahi kutolewa na watu mbalimbali kuhusu historia ya lugha ya Kiswahili na lahaja zake.