Moduli hii ya Upimaji, Tathmini na Utoaji Mrejesho inalenga kumwezesha mwalimu kupima kiwango kilichofikiwa na mwanafunzi katika ujenzi wa umahiri.katika upimaji na tathmini ya maendeleo ya ufundishaji na ujifunzaji ujifunzaji katika Darasa la V-VII
Tumia namba UTM102 kama enrolment key kujisajili kwenye moduli hii